
June 30, 2013

Mkurugenzi
wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (kushoto) akisalimiana na
moja ya wachezaji wa timu ya kampuni hiyo Erick Salvatory(kulia)wakati
wa ukaguzi kabla ya kuanza kwa mechi ya ujirani mwema kati ya SBL na
vijana kutoka Chang`ombe B iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja
vya DUCE jijini Dar es Salaam.
Umeonaa! Hivi ni kazi yangu
nikimaliza najiajiri. Ndivyo anavyoelekea kusema mwanafunzi Paulina Emmanuel
anayejifunza masuala ya ubunifu wa mavazi na mitindo katika chuo cha VETA Chang’ombe
Dar es Salaam, akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa soko la ajira, mipango na
maendeleo wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Bw. Enock
Kibendela alipotembelea banda a VETA kwenye maonyesho ya SabaSaba, Dar es
Salaam.
June 28, 2013
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani katikati), akifuatwa na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Temeke, Dar es Salaam hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wapili kushkto)
akizungumza na Wabunge kutoka kulia, John Cheyo Bariadi Mashariki (UDP), James
Mbatia wa kuteuliwa (NCCR Mageuzi) na
Mansoor Shanif Hiran mbunge wa Kwimba
(CCM) nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.Kushoto ni Mkurugenzi wa Msama
Promotion, Alex Msama.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama nje ya Ukumbi wa Bunge mjini DodomaJuni 27,2013.
June 27, 2013
Warembo wanao wania Taji la Redd's Miss Temeke 2013, kutoka kushoto walio simamaMargreth Olotu, Narietha Boniface, Latifa Mohamed, Mutesa
George, Naima Ramadhan, Margreth Gerald, Mey Karume, Esther Muswa,
Aksaritha Vedustus na Svtlona Nyameyo CHINI, Irenej Rajab, Darlin Mmary, Stella Mngazija na Hyness Oscar. Wakipiga picha ya pamoja baada ya mazoezi yao jijini Dar es Salaam leo.

Meneja
Chapa wa Tigo Tanzania Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa
habari kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang litakalofanyika siku ya
jumapili hii bure kabisa katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza,
kushoto msanii Diamond Platnumz na kulia msanii Madee ambao watatoa
shoo siku hiyo na wasanii wengine.
Rais Wa Sri Lanka Me.Mahinda Rajapaksa akikagua gwaride
la heshima liliandaliwa na Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) muda
mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam leo asubuhi kwa ziara ya kikazi nchini.
Mtoto Faith Warioba nayesoma katika shule
ya awali ya Montessori jijini Dar es Salaam akimlaki kwa maua Rais Mahinda
Rajapaksa wa Srilanka muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi nchini huku Rais Dkt.Jakaya
Kikwete akishuhudia.
WADAU WA MTANDAO WETU WA FULLSHANGWE TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU
ULIOJITOKEZA KUANZIA LEO KUTOKANA NA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI
KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU HATA HIVYO WATAAAMU WETU
WANAFANYA KILA LIWEZEKANALO ILI TUWEZE KUREJEA WAKATI WOWOTE
TUNATUMIA NAFASI HII PIA KUWAOMBA RADHI WADHAMINI WETU NMB,
NBC SBL, NHIF NA WILNA INTERNATIONAL TUNAOMBA MTUVUMILIE WAKATI
TUNASHUGHULIKIA TATIZO HILO.

Meneja
wa bia ya Serengeti Allan Chonjo (wa pili kulia) akiongea kwa njia ya
simu na mshindi wa droo ya pili ya Winda na Ushinde Mwl.Michael
Valerian Mbuya katika mkutano na wana habari uliofanyika jana katika
ofisi za Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam, kushoto kwake
ni Meneja mauzo wa Push Mobile Rugambo Rodney,
kulia kwake ni Afisa mwandamizi kutoka PWC Daniel Nnko na Mkaguzi
kutoka Bodi ya Michezo ya Bahati Humudi Abdul Hussen(wa kwanza kushoto).

Meneja
wa bia ya Serengeti Allan Chonjo(katikati) akiongea na wana habari
wakati wa kumtangaza mshindi wa droo ya pili ya Winda na Ushinde katika mkutano uliofanyikajana katika ofisi za Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, jijini Dar es Salaam, na mmoja wa Wenyeviti wa Bunge, Mussa Zungu Azzan akiongoza kikao cha Bunge
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kutoka Mkoani Arusha, Catherine Magige akiwa Bungeni mjini Dodoma Juni 26,2013.
Mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kingwangalla (kulia)
akizungumza na Mwenyekiti wa CCM nchi za SADC, Kelvin Nyamori (katikati) na
Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina, nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Mapema wiki hii Wanachama wa Chama cha Washereheshaji na watoa Huduma katika Shughuli mbalimbali nchini hasa Sherehe walifika Mjini Dodoma na kutembelea Bungeni na kujionea shughuli mbalimbali za Bunge. Father Kidevu Blog kupitia Kampuni yake ya MD Digital Company ambayo pia ni mtoa huduma ya Picha katika sherehe mbalimbali ilinasa taswira mbalimbali za wakali hao wa Kuongoza Shere na Misosi wakiwa Mjengoni.
June 25, 2013
FAMILIA YA ZAINABU ABEID ALLY (BABY SHANGAZI HOTELI) YA MBEYA INAPENDA
KUCHUKUA FURSA HII KUMKUMBUKA MAMA YAO MPENDWA ALIYEFARIKI USIKU WA TAREHE 5-06-2013 KATIKA HOSPITALI YA RUFAA
JIJINI MBEYA NA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 6.06.2013.
WATOTO WAKO POSTER, MABRUCK, ASHA, HAWA, HUSSEIN, HASIRA NA ABEID WANAUNGANA NA
NDUGU NA JAMAA WALIOJITOLEA KWA HALI NA MALI KUHAKIKISHA MAMA YAO MPENDWA ANAPATA
KILA AINA YA MSAADA ULIOKUWA UNAHITAJI MPAKA PALE MWENYEZI MUNGU ALIPOCHUKUA
ROHO YAKE.
KUMBUKUMBU YA KUTIMIZA SIKU YA 40 BAADA YA KIFO CHA MAMA YETU
INATARAJIWA KUFANYIKA NYUMBANI KWAKE MAREHEMU MBEYA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 6.07.2013 WOTE MNAKARIBISHWA.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.
AHSANTENI SANA
Shirika la Utangazaji la Sauti ya Amerika Idhaa ya Kiswahili
(VOA) ikishirikiana na USAID limeandaa mkutano mkubwa wa Vijana utakao fanyika kesho mjini Dodoma maarufu
kama Je Nifanyeje?.
Washiriki wa mkutano huo ni vijana mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) pamoja na Vijana wengine wa mtaani Dodoma wamealikwa kuhudhuria.
Mtangazaji Mashuhuri aliyejiunga na idhaa hiyo mwaka 2008 akitokea kituocha ITV na Redio One Sanday Shomari ndiye atakuwa akiongoza mkutano huo.
Mtangazaji Mashuhuri aliyejiunga na idhaa hiyo mwaka 2008 akitokea kituocha ITV na Redio One Sanday Shomari ndiye atakuwa akiongoza mkutano huo.
Wakizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Habari
wa Bunge mjini Dodoma, Sande Shomari pamoja na Bi. Rose Mwakitwange (pichani
juu) wamesema maandalizi ya mkutano huo
yamekamilika na mjadala wake utarushwa moja kwa moja na redio Mshirika ABM FM
ya mjini Dodoma.
Direcotor
Credit Bureau Expansion- Creditino Group Mr.Hakon Stafansson speaking
at the press conference today at Serena Hotel (left) is Mr.Davith
Kahwa,Director-Creditino Tanzania.
Creditinfo Tanzania Limited (CIT) received the licence to conduct
credit reference business after satisfactorily met the conditions stipulated in
the provisional licence that was granted by the Bank of Tanzania on October
2012 and demonstrated its readiness to commence business. This means that
Creditinfo Tanzania, is the first company to receive a licence to operate a
credit reference bureau in Tanzania issued under Section 48 of the Bank of
Tanzania Act, 2006.
Subsequently, on 12th
June 2013, Creditinfo Tanzania started to provide services to public and
various categories of business that are denominated under the Act as being
eligible to provide credit information to a Credit Reference Databank. These
include banks and non-bank
financial institutions, savings and credit schemes, micro-finance companies,
any other finance company that are licensed and supervised by the Bank of
Tanzania. Similar services are available for subscriptions to all other credit
providers, he added.
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya
Serengeti wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie Walker.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(kulia) na mdau Mr. Paul(kushoto) wakiwa washika chupa ya Johnnie
Walker blue label
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa
pili kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi.
Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau Paul(kulia) na Mac(kushoto)
waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa
na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam.
June 24, 2013
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tamko la Mount Meru la kuwalinda waandishi wa habari wakiwa kazini Afrika Mashariki, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Bw. Francis Stolla akizungumza machache wakati wa uzinduzi huo ambapo alisisitiza umuhimu wa uhuru wa vyombo vya habari katika kujenga Demokrasia na Utawala Bora katika Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wengine katika picha ni Mwenyekiti wa Misa-Tan Bw. Mohammed Tibanyendera (wa tatu kushoto), Mjumbe wa MCT Bw. Allan Lawa (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Bw. Abubakar Karsan ( wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa MISA-TAN Bw. Tumaini Mwailenge (kushoto). (Picha na Zainul Mzige wa Dewji Blog).
Mtangazaji wa Radio Clouds Fm Regina Mwalekwa akisoma Tamko rasmi la Mount Meru lililoandaliwa siku ya maadhimisho ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani yaliyofanyika Mei 3-4 mwaka huu jijini Arusha yaliyohudhuriwa na washiriki mbalimbali toka vyombo vya habari, redio za jamii, jumuiya mbalimbali za Kimataifa, Taasisi za mafunzo ya tasnia ya habari na mifuko ya Maendeleo ya Tasnia ya habari kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda.
Makamu
wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally
Iddy akipokea vifaa mbalimbali vya michezo kwa timu za baraza la
wawakilishi za mpira wa miguu na pete toka kwa Meneja masoko wa kinywaji
cha Grandmalt Fimbo Mohamed Butallah kwenye makabidhiano yaliyofanyika
kwenye ukumbi la baraza la wawakilishi Zanzibar, kushoto kwake ni
mwenyekiti wa timu ya Baraza la wawakilishi mheshimiwa Hamza Hassan
Juma.
RAMBIRAMBI MSIBA WA MATHIAS KISSA
Shrikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za
kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Cosmopolitan na Taifa Stars,
Mathias Kissa (84) kilichotokea leo alfajiri (Juni 24 mwaka huu) kwenye
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Msiba
huo ni mkubwa kwa wadau wa mpira wa miguu kwani enzi zake, Kissa akiwa
na timu ya Tabora alitamba katika michuano ya Kombe la Taifa wakati huo
ikiitwa Sunlight Cup. Alikuwa akicheza katika nafasi ya ulinzi.
Baadaye
alijiunga na Cosmoplitan ya Dar es Salaam, na pia kuwa mchezaji wa timu
ya Taifa ambapo enzi zake akiwa na wachezaji kama Yunge Mwanansali
wakiiwakilisha Tanganyika na baadaye Tanzania Bara walitamba katika
michuano ya Kombe la Chalenji wakati huo ikiitwa Gossage, hivyo mchango
wake tutaukumbuka daima.
Mchezaji chipukizi wa timu ya soka ya Sifa United ya Manzese Abuu
Mohamed (kushoto) akichuana na mchezaji wa Makumbusho United Shabani Idd wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya vijana chini ya umriwa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, Mkoa wa Kinondoni, iliyofanyikauwanja wa mpira wa shule ya msingi Mwanamanyala jijini Dar es Salaam Juni 23, 2013. Makumbusho United walishinda 3-1
Ofisa Uhusiano wa Airtel TanzaniaJane Matinde akipiga penati kuashiria
uzinduzi rasmi ya Airtel Rising Stars Mkoa wa Kinondoni.
Ofisa Uhusiana wa Airtel Tanzania akikagua timu kabla ya mechi kuanza.
Mchezaji wa timu ya soka ya Sifa United ya Manzese Yassin Saleh (kulia) akichuanana na Shaban Idd wa
Makumbusho United wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano
ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars, Mkoa wa Kinondoni,
iliyofanyika uwanja wa mpira wa shule ya msingi Mwanamanyala jijini Dar es
Salaam Juni 23, 2013. Makumbusho United walishinda 3-1
MBUNGE WA Kigoma Kaskazini, Ndugu Zitto Z. Kabwe amealikwa kuhudhuria tamasha la tisa la Aspen la mwaka
huu huko Marekani. Tamasha hilo linawaleta pamoja watu mashuhuri kutoka nyanja
mbalimbali duniani.
Lengo kubwa la tamasha ni kuwawezesha washiriki kubadilishana mawazo kuhusiana
na masuala mbalimbali ambayo wana uzoefu nayo.
Katibu wa Wabunge wa
Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo
wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu
miswada mbalimbali iliyojadiliwa na bunge hilo kwa kipindi cha mwaka
mmoja. Kushoto ni mbunge wa bunge hilo, Abdullah Mwinyi.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Abdullah Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari leo. Kulia ni Katibu wa wabunge wa Tanzania katika bunge hilo, Shy-Rose Bhanji.
Mmoja wa washiriki wa shindano la Bibi Bomba awamu ya pili Bi.Anna Nicholaus akikabidhiwa fulana yenye jina lake na mmoja wa Waratibu wa shindano hilo,AJ Jonathan,wakati wa utambulisho rasmi wa washiriki hao mapema jana jioni mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),uliofanyika kwenye ukumbi wa alliance française,jijini Dar.Aidha pia washiriki hao wapatao ishirini walipata nafasi ya kusaini mikataba yao na pia kuelezwa utaratibu mzima wa mchakato wa Bibi Bomba 2013.
June 22, 2013
JUMLA
ya timu nane zimethibitisha kushriki katika bonaza la soka klabu ya
Break Point lililopangwa kufanyika Jumapili Juni 23 kwenye viwanja vya
Survey (Chuo Kikuu cha Ardhi).
Mkurugenzi wa Breake Point Outdoor Distributors, Daudi Machumu
alizitaja timu ambazo ambazo zitashiriki katika bonanza hilo
lililodhaminiwa na kampuni ya bia ya Seregeti (SBL) kuwa ni, Rose
Garden, Survey, Mbezi Beach na Boko Veterans.
Machumu
alisema kuwa timu nyingine ni Clouds Media Group, Magogoni, Umoja na
waaandaaji, Break Point ambayo itakuwa chini ya Rodrick “Neymar”
Mwambene. Alisema kuwa bonanza hilo limepangwa kuanza saa 2.30 asubuhi na madhumuni yake ni kuwakutanisha wadau wa michezo na kubadilishana mawazo.
Wakili Froldius Mugisha Mutungi (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wakili Emmanuel Tamila Makene (wapilikushoto) pamoja na Mkewe mama Mutungi na kijana kutoka Ofisi ya Kings Low Chember, Daudi.
*********
Ama kweli penye nia njia
hupatikana….
Msemo huu wa wahenga
umekamilika tarehe 21 Juni 2013 ambapo Ndugu Froldius Mugisha Mutungi
ameapishwa kuwa wakili wa kujitegea.
Muuguzi huyu anamshukuru sana Mwenyezi
Mungu kwa kumpa afya ya mwili, roho na akili pia. Na anawashukuru sana familia
yake hasa mke wake ,wafanyakazi wenzake, ndugu jamaa na marafiki ambao wamemsaidia
kwa njia moja au nyingine hata kupatikana mafanikio haya.
June 21, 2013
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akimpigia mmoja wa
washindi miongoni ya watano waliojishindia shilingi milioni mbili kila
mmoja kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao,inayowezesha
wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.wanaoshuhudia
ni Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa kampuni hiyo, Yvonne Maruma
(kati kati)pamoja na Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha
Tanzania Bi.Chiku Saleh.
HAWA NDIYO WASHINDI WA PROMOSHENI YA CHEKA NAO - 21/06/2013
|
|||||||
WAMEJINYAKULIA KITITA CHA MILIONI TSH 2,000,000 KILA MMOJA
|
|||||||
|
|
|
|
||||
JINA
|
UMRI
|
ANAKOISHI
|
KAZI YAKE
|
||||
Majija Amos Kidara
|
24
|
Shinyanga - Kahama
|
Peasant
|
||||
Mkude Idd
|
30
|
Msamvu - Morogoro
|
Peasant
|
||||
Isaya Edward Sengo
|
35
|
Mbeya
|
Petty Trader
|
||||
Alexander Vinson
|
33
|
Mbinga - Ruvuma
|
Peasant
|
||||
Derick Charles Cosmas
|
25
|
Karagwe - Bukoba
|
Peasant
|
||||

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe
jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la
ujenzi wa Viwanda katika eneo hilo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic
Corridor Sez, linalosimamiwa na Wawekezaji kutoka nchini Korea Kusini.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la
Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo
zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga. Kushoto kwa Makamu ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae.
Michelle Jeng (right) With some of the guest at the Launch.
Dr Mwele Malecela officiating michelle Jeng Foundation.
Fashion Show during the LAunch of the Michelle Jeng Foundation.
Guest Of honour Dr Mwele Malecela giving a speech.
Michelle Jeng Speaking at the LAunch of her Foundation.
The MICHELLE JENG FOUNDATION
was launched in Stockholm, Sweden by Tanzanian Model Michelle
Jeng who aims to provide educational support to young girls living in her home country,
United Republic of Tanzania.
At the launch she said, “Through
my foundation, I look forward to providing hope to young girls who shall be the
leaders of tomorrow and provide for their education that shall be the catalyst
to the change in their lives”
Subscribe to:
Posts (Atom)