Mbunge wa Jimbo la Ilala, jijini Dar es Salaam, na mmoja wa Wenyeviti wa Bunge, Mussa Zungu Azzan akiongoza kikao cha Bunge
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kutoka Mkoani Arusha, Catherine Magige akiwa Bungeni mjini Dodoma Juni 26,2013.
Mbunge wa Nzega, Dk. Hamisi Kingwangalla (kulia)
akizungumza na Mwenyekiti wa CCM nchi za SADC, Kelvin Nyamori (katikati) na
Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina, nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalu, Faida Mohamed Bakar
akizungumza jambo na Mbunge wa Tandahimba, Juma Njwayo nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Viti Maalum, Faida Mohamed Bakar
akifurahia jambo na Wabunge wenzake Juma Njwayo wa Jimbo la Tandahimba, na Dk. Hamisi Kingwangala wa Nzega(kushoto) nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma jana.
Wapigapicha za Habari wakiwa kazini Bungeni
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe akisalimiana
na Mbunge wa Viti Maalum, Josephine Gezabuke (kulia) nje ya Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma jana. Kushoto ni Waziri wa Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Terezya
Huvisa.
Wabunge wakitoka Bungeni jana
0 comments:
Post a Comment