Mapema wiki hii Wanachama wa Chama cha Washereheshaji na watoa Huduma katika Shughuli mbalimbali nchini hasa Sherehe walifika Mjini Dodoma na kutembelea Bungeni na kujionea shughuli mbalimbali za Bunge. Father Kidevu Blog kupitia Kampuni yake ya MD Digital Company ambayo pia ni mtoa huduma ya Picha katika sherehe mbalimbali ilinasa taswira mbalimbali za wakali hao wa Kuongoza Shere na Misosi wakiwa Mjengoni.
Wakiwa na Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Dk. Fenela Mkangara, Waziri, Prof. Mark Mwandosya na Dk. John Magufuli
Wakiwa wamevalia nadhifu kwa Batiki kwa akina mama na suti kali kwa wanaume walipiga picha ya pamoja.
Magufuli akiwapa mkono baadhi yao.
Akina mama walipiga yakwao...
Wazee wa kazi nao hawakutaka kuikosa...
0 comments:
Post a Comment