Dr. Mary Mwanjelwa mbunge wa Mbeya (viti maalum) mgeni rasmi katika wa mkutano wa Je Nifanyeje ulioandaliwa na VOA kwa ushirikiano na USAID akifungua rasmi mkutano huo wa vijana katika ukumbi wa African Dreamer Dodoma Jumatano.
Katika meza kuu kutoka kushoto ni Mariam Salum Msahaba (Zanzbar), Josephine Johnson Genzabuke (Kigoma),Ritta Motto Kabati (Iringa), Faida Mohamed Bakari (Kusini Pemba)
Washiriki wa "Town Hall meeting".
Washiriki wakifuatilia mkutano.
Washiriki wakiwa na mgeni rasmi.
Mshiriki Sebastian ambaye ni mwanafunzi wa CBE akitoa pointi.
Washiriki wa mkutano huo kushoto Panelist Dr.Ilyu Mohamed na Advocate Jp mshauri wa EABTM.
Kutoka kushoto Mariam Salum Msahaba (Zanzbar),Faida Mohamed Bakari (Kusini Pemba),Dr. Mary Mwanjelwa Mbeya, Rose Mwakitwange,Ritta Motto Kabati (Iringa) na Rais wa wanafunzi wa CBE Dodoma.
Nikitoa saini kwa washiriki wa semina.
Timu ya Je Nifanyeje Tanzania kutoka kushoto Adeodatus Kakorozya, Mwanaharusi Pongwa na Mensiah .
Washiriki wa mkutano wakiwa kwenye majadiliano.
Wasaa wa kung'aa na baadhi ya washiriki wa mkutano wanafunzi wa CBE Dodoma.
Kwa picha zaidi bofya June 27, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment