Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya
Serengeti wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie Walker.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(kulia) na mdau Mr. Paul(kushoto) wakiwa washika chupa ya Johnnie
Walker blue label
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa
pili kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi.
Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau Paul(kulia) na Mac(kushoto)
waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa
na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliohudhuria hafla hiyo
Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship
wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie
Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
Steve Gannon(hayupo pichani)
Mtaalamu wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua
kabisa uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa
hafla hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa mabalozi wakuu wa kinywaji cha Johnnie Walker Danis Ssebo
akiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha John Walker Black label waweze
kukionja na kujua ladha yake katika hafla ya ‘Johnnie Walker
Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es
Salaam
0 comments:
Post a Comment