Hili ndilo kaburi la Msanii Albert Mangweha aliyefariki ghafla Mei 28, mwaka huu nchini Afrika Kusini na kuzika leo Kihonda mkoani Morogoro.

M2 THE P
amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi
ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya
chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea.
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
0 comments:
Post a Comment