Huyu ni Keaton Morris au Kingunge Ngombale Mwiru mmoja kati ya wanasiasa wakongwe nchini Tanzania. Ingawa ana asili ya dini ya kikatoliki ni kiongozi pekee nchini tanzania asiyeabudu dini zozote za mwenyezi mungu na hivyo kubakia kuwa muumin wa siasa za kikomonisti, Alizaliwa Mwaka 1929 huko Kilwa Kivinje.
huyu ni Kingunge Ngombale Mwiru. japo nasikia hili si jina alilopewa awali na wazazi wake. Hili ni jina 'alilojibatiza' baada ya kunywa maji ya bendera ya ukoministi
Kuna Jambo moja ambalo huyu mzee husimama kando from the rest of the politicians. huyu Mzee yeye si muumini wa dini yoyote unayoijua wewe. Ndio maana kila mara anakula kiapo hashiki biblia wala Quran.
Mroki, Hebu pekua maktaba yako upate japo picha moja ya huyu mwanasiasa mkongwe akiapishwa ktk moja ya viapo alivyopitia ili usaidie wadau wako watambue msimamo wa huyu mzee.
kama kingunge vile
ReplyDeleteHuyu bila shaka yoyote ni Mzee Kingunge Ngombele Mwiru.Hapa nadhani ni wakati ule akiwa Katibu Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Umoja wa Vijana wa Afrika.
ReplyDeleteThat's Kingunge Ngombale Mwilu.Hahhaaa
ReplyDeleteMzee wetu, mwanasiasa mkongwe, Mh. Kingunge Ngombale Mwilu, wakati wa ujana wake. What a strong handsome man!!!
ReplyDeleteHuyu ni Kingunge Ngombale Mwiru.
ReplyDeleteTausi Usi Ame Makame
Asker
Norway.
tausi@online.no
Huyu ni Kingunge Ngombale Mwilu..
ReplyDelete..Mkongwe
Huyo ni Mtikila
ReplyDeleteNdugu Kingunge Ngombare Mwiru
ReplyDeleteMkuu huyo ni Kingunge ngombare Mwiru..
ReplyDeleteNaomba kuwasilisha.
Kingunge Ngomare Mwiru
ReplyDeletehuyu ni kingunge ngombare mwiru alikuwa handsome
ReplyDeletekingunge ngombale mwiru
ReplyDeletehuyo ni kingunge ngombale mwiru
ReplyDeleteni mimi mkuli nambari one
Kinje's dad Kingunge Ngombale Mwiru.
ReplyDeletekingunge ngombare mwilu
ReplyDeleteHuyo ni mjamaa wa uongo,mmoja wa wale waliomwendea kinyume mwalimu ,zee la fitna KINGUNGE NGOMBALE MWIRU.
ReplyDeletehuyu ni mzee kingunge ngombale mwilu,ila enzi hizo alikua kijana kingunge.
ReplyDeleteWewe Kidevu mbona hujaweka comment yangu? Nilikuambia huyu ni Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.
ReplyDeleteKingunge Ngombale Ngwale Mwiru
ReplyDeleteHuyo ni bingwawa Siasa za CCM mzee Kingunge Ngombale Mwiru zama za ujana wake. Haiyumkini picha hii ilipigwa miaka ya 1960 /63.
ReplyDeleteKingunge Ngombare Mwiru
ReplyDeleteHuyu ni Keaton Morris au Kingunge Ngombale Mwiru mmoja kati ya wanasiasa wakongwe nchini Tanzania.
ReplyDeleteIngawa ana asili ya dini ya kikatoliki ni kiongozi pekee nchini tanzania asiyeabudu dini zozote za mwenyezi mungu na hivyo kubakia kuwa muumin wa siasa za kikomonisti, Alizaliwa Mwaka 1929 huko Kilwa Kivinje.
huyu ni Kingunge Ngombale Mwiru. japo nasikia hili si jina alilopewa awali na wazazi wake. Hili ni jina 'alilojibatiza' baada ya kunywa maji ya bendera ya ukoministi
ReplyDeleteKuna Jambo moja ambalo huyu mzee husimama kando from the rest of the politicians. huyu Mzee yeye si muumini wa dini yoyote unayoijua wewe. Ndio maana kila mara anakula kiapo hashiki biblia wala Quran.
Mroki,
Hebu pekua maktaba yako upate japo picha moja ya huyu mwanasiasa mkongwe akiapishwa ktk moja ya viapo alivyopitia ili usaidie wadau wako watambue msimamo wa huyu mzee.
Ni kingunge kweli kweli ktk siasa za hapa bongo!
HUYO NI NDG. KILONTSI MPOLOGOMYI, MBUNGE MSTAAFU !!!!! Wote hapo juu wamekosea na kama kuna ZAWADI basi nitumiwe mimi kwa anuani pepe ifuatayo:-
ReplyDeletekichwabuta2001@yahoo.com; au
mwendantwala@hotmail.com
Mheshimiwa huyo ni ndugu kilontsi Mpologomyi, kama alivyotanabahisha mwenzangu i.e. Kichwabuta Mwendantwala.
ReplyDeleteciao
Mroki Mroki watu wameotea vya kutosha tell us the correct answer.au unataka yafike 100
ReplyDelete