Nafasi Ya Matangazo

June 23, 2008





Wapenzi wa mavazi wakifuatilia kwa ukaribu onyesho la mavazi ya Khanga lililoandaliwa na mbinifu Mustafa Hassanali.



Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 15 comments

15 comments:

  1. AnonymousJune 25, 2008

    Ahsante sana Mkubwa kwa picha hizi.
    Mbona umebadilisha anwani bila kuaga tulikuwa tunakutafuta kule hatukupati Mkubwa?
    Big up!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2008

    I adore you Klyne.u are mzuri kinoma.mwaaah

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2008

    Hivi huyu Fide kalogwa? ......

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2008

    haya haya kweli hayo ni kanagalious show hongera bi kidude.nakufagilia mkongwe wangu......jamani mbona hao walioudhuria wewe dada mwenye gauni jeusi uliyekaa mkao wa porno..ndio show au kujitangazia biashara yako tena ..leta basi video zako za mapaja..kwenye ..blog yetu ya theutamu.blogspot...tukuchangamkie tender wewe mwana dada..au ndio bongo tambarare mnaonyesha mpaka chupi zenu kama show...poleni mama zetu mnadhalilishwa na wa kina dada wa kileo wanaokaa uchi kwenye kadamnasi za watu kuwaiga wazungu kwa mikogo ya kukaa nusu uchi...hasanali show yako ni mzuri..lakini wanaokaa uchi wanakuharibia..biashara yako..sisi sio wazungu hata kama ni uhuru wako dada lakini kuna mipaka..hasa kwa jamii yetu ya kibongo
    onyesha mfano bora dada sio kujianika kama mcheza picha za porno..uchi..
    mkereketwa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2008

    Huo mkao wa Fideline Iranga mmhhh! mi sisemi kitu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2008

    Asante Mroki, na hongera kwa blog mpya. Endeleza libeneke.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2008

    Dah!jamani huyo model mweusi nene kaachia paja lote n then limechubuka na joto heri angefunika dah!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2008

    Hili lidada linene linaboa na mavazi yake....kila blog lipo na mavazi ya ajabu ajabu.
    Bongo ndio imekua hivyo siku hizi..???

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2008

    Sijapenda muonekano wa dada mmoja mnene, nafikiri anaitwa Fidelisi Iranga. Anaonekana kama amekwenda mbele zaidi ya mitindo kwa kuruhusu sehemu kubwa ya mwili wake kuonekana. Ninapomuona naona zaidi ya uanamitindo. Naona tabia mbaya. Naona vitu ambavyo tunatakiwa kukemea badala ya kumpa kichwa. Samahani, ni mtazamo wangu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2008

    wewe Fidelin Iranga, ni aibu tupu mipaja yenyewe imejaa mikunjo mikunjo bado unajiacha uchi namna hiyo. Sura yenyewe mbayaaa unatutisha kabisa. yaani nimekuchukia. kwanza si una ngoma wewe? Ulitembea na Joram alikuwa mkurugenzi wa Oryx na alishafariki? Sasa hapo unamtega nani ili ummmalize. Huna adabu mjinga wewe kafe peke yako kwa umalaya wako. Aibu na kinyaa tupu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 26, 2008

    oyaaa kidevu mbona hujatoa maoni yangu au ndio umenichunia?huyo dada aliyekaa matako na mapaja nusu uchi katika waliodhuria..anaonyesha show pia ya mwili wake?au ndio utamaduni wa bongo wa siku hizi kwa akina mama na democracy?kama hivyo mwambie ajianike kweny blog yetu ya masela ya mawowowo.na the utamu...tutampa sifa zake...aibu tena sana mwana dada.wewe uliyevaa nyeusi nguo haipendezi....mkereketwa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 26, 2008

    ovyoo mmekwenda kuonyesha mapaja yenu kwenye show nyinyi..hata haya na soni hamna..wanawake sio stahiki kuheshimwa hata mbele ya family zenu.ndio nini uzungu au umarekani*

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 27, 2008

    mbona wamekaa uchi hasa huyo mdada mwenye kimini nyeusi na miwani?nomaaa..au ndio show nayo unatupatia katika blogu yako
    poa

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 27, 2008

    duh!!!huyu dada ni mweusi halafu akavaa nguo nyeusi na akakaa uchi ametisha anauza???

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 29, 2008

    Dada uliyevaa nguo nyeusi na miwani, biashara yako unaitangaza fresh. Kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza, ndio nini makaaji hayo, mbona wenzako wamevaa kama wewe na wamejiheshimu kimikao. Kweli culture mbovu zimeingia kutupumbza wadanganyika. Kuna mambo mengine ya wazungu si mazuri kuyafuatilia, ustaarabu wetu wa kujiheshimu, kibinadamu na kimavazi kuuimarisha ni muhimu. Hongera sana Mh. Hassanali kwa ubunifu wako, natumai utaendelza kazi hii vizuri zaidi. Naona wakidada wamependeza kwa mavazi yao ya Khanga, bi Kidude, mwenyeenzi Mungu akujaalie uhai mrefu, afya njema na mafanikio mema. "Emancipate yourselves from mental slaves, non but ourseleves can free our minds".

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo