Mkurugenzi wa Redio Five, Robert Francis akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuhusu mchango unaotolewa na redio hiyo kurusha kipindi cha Amka, kitakachomsaidia na kumkwamua wanawake wa vijijini hususani kuhusu kilimo na ufugaji.
Mchambuzi wa Miradi ya Redio (RLDC) Teri Gilead kulia akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kufafanua Njia mbalimbali za kumsaidia mwanamke wa Kitanzania katika kujipatia kipato kinachotokana na kilimo na mifugo.Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Five, Robert Francis Dar es Salaam.




Radio 5 is the best.... And its very thoughful of them kusaidia wanawake wa kitanzania. Keep up
ReplyDeleteApasia