Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akimkabidhi Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, zawadi iliyokuwa na bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania ikiwemo korosho na kahawa, baada kikao walipokutana na kufanya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, walipokutana na kufanya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, akizungumza katika kikao na Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), walipokutana na kufanya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa nne kulia), na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan (wa tano kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, Tume ya Mipango na Ubalozi wa Indonesia, baada ya kikao cha mazungumzo kilichofanyika katika ukumbi wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Kutoka kushoto Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban na Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade. Kutoka kulia ni Katibu wa Balozi wa Indonesia Bw. Antidius Karoli Kalisa, Mkuu wa Idara ya Utamaduni, siasa na Mambo ya Kijamii Bw. Michael Bastian Supit na Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Blandina Kilama.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, walipokutana na kufanya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati wa kikao na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiongoza kikao cha mazungumzo na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, ambaye alifika kwa ajili ya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan, akizungumza katika kikao na Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), walipokutana na kufanya mazungumzo, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa nne kulia), na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko Avetisyan (wa tano kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, Tume ya Mipango na Ubalozi wa Indonesia, baada ya kikao cha mazungumzo kilichofanyika katika ukumbi wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Kutoka kushoto Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban na Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade. Kutoka kulia ni Katibu wa Balozi wa Indonesia Bw. Antidius Karoli Kalisa, Mkuu wa Idara ya Utamaduni, siasa na Mambo ya Kijamii Bw. Michael Bastian Supit na Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Blandina Kilama.
***************
Na. Joseph Mahumi na Saidina
Msangi, WF, Dodoma.
.jpg)

.jpg)

0 comments:
Post a Comment