Juzi Februari 26,2012 siku ya kwanza ya kuuzwa kwa gazeti la Sunday Sun la Uingereza limeweza kununuliwa nakala milioni 3 kwa siku- Hii imeelezwa na mmiliki wake Rupert Murdoch katika tweet yake jana usiku.
Swali: Lini gazeti (magazeti) ya Tanzania yatafika huko? au yatabaki kulalamika tu kuwa Blogs zinauwa soko lao. Tafakari- changia mawazo hapa nini kifanyike tufike huko
.





0 comments:
Post a Comment