Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2012

 Mkurugenzi wa Redio Five, Robert Francis akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuhusu mchango unaotolewa na redio hiyo kurusha kipindi cha Amka, kitakachomsaidia na kumkwamua wanawake wa vijijini hususani kuhusu kilimo na ufugaji.
Mchambuzi wa Miradi ya Redio (RLDC) Teri Gilead kulia akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kufafanua Njia mbalimbali za kumsaidia mwanamke wa Kitanzania katika kujipatia kipato kinachotokana na kilimo na mifugo.Kulia ni Mkurugenzi wa Redio Five, Robert Francis Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, February 28, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Radio 5 is the best.... And its very thoughful of them kusaidia wanawake wa kitanzania. Keep up
    Apasia

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo