Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Viwandani, Frank Mwanga akikabidhi galoni la sabuni ya kufulia katika hafla ambayo benki hiyo ilikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya kutengenezea sabuni kwa kikundi cha wanawake wa VICOBA cha Ujasiri wenye thamani ya shs milioni 3 hafla iliyofanyika Gonga la Mboto, Dar es Salaam jana. Anayepokea ni mwenyekiti wa kikundi hicho, Flora James.
Baadhi ya wafanyakazi wa Tawi la Benki ya NBC Viwandani,wakikabidhi misaada ya vifaa mbalimbali vya kutengenezea sabuni kwa kikundi cha wanawake wa VICOBA cha Ujasiri wenye thamani ya shs milioni 3 hafla iliyofanyika Gonga la Mboto, Dar es Salaam jana. Anayepokea ni Mwenyekiti wa kikundi hicho, Flora James.
0 comments:
Post a Comment