
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto) akimkabidhi Shujaa wa Safari Lager, Paul Luvinga jenereta na kompyuta iliyotolewa msaada kwa Jumuiya ya Maendeleo ya Wakazi wa Sinza E (JUMAWASE), kwa ajili ya maktaba ya eneo hilo . Pia katika hafla hiyo TBL ilikabidhi msaada wa matofali 800 ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kidomole, wilayani Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Edward Msigala Mjumbe wa JUMAWASE.




0 comments:
Post a Comment