Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2010

Katibu Mkuu wa Chama Cha mapinduzi Yusuf Makamba akimkabidhi foumu ya kugombea Urais, Rais Jakaya Mrisho kikwete katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Kikwetwe akipeana mkono na Katibui Mkuu wa CCM Yusuf Makamba baada ya kupokea fomu hizo.
Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM taifa, akionesha fomu zake za kutetea kiti chake cha Urais baada ya kuzipokea mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wanafamilia wakiwepo watoto wake wakisubiri baba yao kuchukua fomu.
Kikwete akizungumza jambo na Makamu wa CCM bara, Pius Msekwa (katikati) na Waziri Mkuu ambaye pia ni mjumbe wa NEC Mizengo Pinda.
Wana CCM walipokuwa wakimsubiri Mgombea wao kuchukua fomu.
Wana CCM wa mjini Dodoma wakijaza fomu za udhamini kwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi.
Mke wa Rais Jakaya Kikwete,Salma Kikwete akiwa na Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (kulia) mjini Dodoma leo.

Posted by MROKI On Monday, June 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo