
MKE wa Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Jacques Champagne De Labriolle wakiondowa kipazia kuashiria kuizinduwa wodi mpya wa Wazazi katika Hospitali Wilaya ya Micheweni Pemba, iliojengwa kwa ushirikiano na AIDE MEDICALE DEVELOPPEMENT YA UFARANSA( AMD ) na Jumuiya ya ZAYEDESA

MKE wa Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Jacques Champagne De Labriolle wakikata utepe kuashiria kuizinduwa Wodi mpya ya Wazai katika Hospitali ya Wilaya ya Michewena Pemba , iliojengwa kwa ushirikiano na ) na Jumuiya ya ZAYEDESA. AIDE MEDICALE DEVELOPPEMENT YA UFARANSA( AMD )jana.
0 comments:
Post a Comment