Nafasi Ya Matangazo

June 21, 2010


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) kwenye uwanja wa Shirika la Elimu KIbaha Juni 20, 2010. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Mghembe na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hajati Amina Mrisho.Washiriki wa Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari TANZANIA (UMISETA) wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwenye uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Juni 20 , 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (Wapili kushoto) akizungumza na washiriki wa mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakati alipofungua mashindano hayo kwenye uwanja wa Shirika la Elimu la Kibaha Juni 20, 2010.
KUANZIA KESHO BLOG HII ITAKUWA IKUKULETEA PICHA MBALIMBALI ZA MASHINDANO HAYO.

Posted by MROKI On Monday, June 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo