Nafasi Ya Matangazo

June 30, 2008

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Meya mpya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Nashon Bindyanguze wa CCM (kushoto) na Meya aliyemaliza muda wake, Kitita Magonjwa wa CHADEMA, baada ya makabidhiano ya madaraka kwenye viwanja vya jengo la manispaa hiyo mjini Kigoma Juni 30,2008.
Posted by MROKI On Monday, June 30, 2008 No comments


Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa AU wakifuatilia mkutano huo uklipfunguliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais Jakaya Kikwete nchini Misri.
Posted by MROKI On Monday, June 30, 2008 No comments

June 29, 2008

Mwanafalsafa alikamata yake
Mzee mzima Ali zahir Zoro naye alinyakua

AY naye alipata tuzo
Besta akipokea tuzo toka kwa Msofe
Wasanii mbalimbali wa muziki wa nchini Tanzania wakipokea tuzo zao jana katika Utoaji wa Tuzo za Wanamuziki bora za Kilimanjaro.
Posted by MROKI On Sunday, June 29, 2008 1 comment
Mkuu
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Betty Mkwasa (wapili kulia) akipeana mkono na Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Korogwe - Magunga, Dk. Sister. Avelina Temba baada ya kukabidiwa msaada wa viti vya wagonjwa vyenye thamani ya sh milioni 2.5 kutoka Benki ya NMB. Kulia ni Meneja Uhusiano wa NMB, Shy-Rose Bhanji na Kushoto ni Meneja NMB kanda ya Kaskazini, Hilal Sudi.
Posted by MROKI On Sunday, June 29, 2008 1 comment




Vimwana wanaowania taji la Miss Temeke 2008 wakiwa katika kambi yao ya mazoezi iliyopo katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es Salaam wakijifua chibni ya mwalimu wao Jocate Mwegelo. Shindano linataraji kufanyika Julai 7, 2008.
Posted by MROKI On Sunday, June 29, 2008 3 comments
Nahodha wa tomu ya Mkoa wa Ruvuma, Joseph Mahundi akipokea kombe la Ubingwa wa ligi ya Copa Coka Cola uliomalizika Juni 28, 2008 kutoka kwa Mbungwe wa Viti Maalum kutoka Ruvuma Jenista Mhagama. Washindi wa pili ni Kigoma, ambapo nafasi ya tatu ilikwenda kwa Mwanza baada ya kuwachapa Iringa.
Posted by MROKI On Sunday, June 29, 2008 No comments

June 28, 2008

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais Jakaya kikwete baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam Juni 27, 2008 akitokea Nchini Kigali na Swaziland alikohudhuria mikutano ya SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Posted by MROKI On Saturday, June 28, 2008 No comments
Rais Jakaya Kikwete na Mjumbe wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC,akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku moja Asasi hiyo uliofanyika katika Kasri ya Mfalme Lozitha nchini Swaziland Juni 25, 2008. Kulia ni Mfalme wa Mswati wa Swaziland aliyekuwa mwenyekiti wa kikao hicho.
Posted by MROKI On Saturday, June 28, 2008 1 comment


Miundombinu ya Swaziland
Posted by MROKI On Saturday, June 28, 2008 No comments
Waandishi kutoka vyombo mbalimbalio vya Habari vya kimataifa, wakifanyiwa ukaguzi katika Kasri la Mfalme Lozitha Swaziland kabla ya kuhudhuria mktano wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC juzi.
Posted by MROKI On Saturday, June 28, 2008 No comments

June 23, 2008

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na wabunge baada ya kusoma bajeti ya Ofisi yake kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Juni, 23, 2008.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 1 comment
Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) Shaaban Kimokole, akiwa na na mkewe, Mwamvua Ally Juma, katika shehere ya harusi iliyofungwa Pugu Kajiungeni na sherehe kufanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro Sinza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Bi Harusi ni mfanyakazi katika kampuni ya Norconsult Limited ‘Unity Bridge’ ya jijini.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 No comments
Miss Sinza 2008, Gloriablanca Mayoa, akipita jukwaani katika vazi la ufukweni katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Vatican City, Sinza, jijini Dar ers Salaam juzi.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 No comments
Miss Sinza 2008.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 No comments




Wapenzi wa mavazi wakifuatilia kwa ukaribu onyesho la mavazi ya Khanga lililoandaliwa na mbinifu Mustafa Hassanali.



Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 15 comments

Mwisho wa shoo walihitimisha hivi.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 1 comment
Mbunifu wa mitindo Mustafa Hassanali akiwa na mkongwe wa muziki wa mwambao Bi Kidude ambaye pia alipanda jukwaani na kuonyesha mavazi ya khanga katika usioku wa Khangalicious.
Mwanamitindo mkongwe kuliko wote duniani, Bibi Kidude akipita jukwaani kuonyesha vazi la khanga lililobuniwa na mbunifu Mustafa Hassanali.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 No comments



Bibi Kidude nae alionyesha kwa staili yake ya kimwambao.








MC wa Chow hiyo Jocate









Ulikuwa ni usiku wa kukata na shoka kwa wavaaji wa khanga jijini Dar es Salaam waliposhuhudia mbunifumaarufu nchini Tanzania na Dunia, Mustafa Hassanali alipoonyesha mitindo mbalimbali iliyoshonwa kwa kutumia khanga.
Posted by MROKI On Monday, June 23, 2008 No comments
  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo