Dada uliyevaa nguo nyeusi na miwani, biashara yako unaitangaza fresh. Kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza, ndio nini makaaji hayo, mbona wenzako wamevaa kama wewe na wamejiheshimu kimikao. Kweli culture mbovu zimeingia kutupumbza wadanganyika. Kuna mambo mengine ya wazungu si mazuri kuyafuatilia, ustaarabu wetu wa kujiheshimu, kibinadamu na kimavazi kuuimarisha ni muhimu. Hongera sana Mh. Hassanali kwa ubunifu wako, natumai utaendelza kazi hii vizuri zaidi. Naona wakidada wamependeza kwa mavazi yao ya Khanga, bi Kidude, mwenyeenzi Mungu akujaalie uhai mrefu, afya njema na mafanikio mema. "Emancipate yourselves from mental slaves, non but ourseleves can free our minds".

ReplyDelete