Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu , ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu , ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




0 comments:
Post a Comment