Katibu Tawala Mkoa wa Tanga (RAS), Rashid Mchatta, akizungumza na Timu ya Uratibu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha kutoka Wizara ya Fedha katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jiji la Tanga kuhusu maandalizi ya maonyesho hayo, yanayotarajia kufanyika katika Viwanja vya Usagara jijini Tanga.

Afisa Msimamizi wa Fedha Mkuu, kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Kimaro, akifafanua jambo kwa Katibu Tawala Mkoa wa Tanga (RAS), Rashid Mchatta, katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jiji la Tanga kuhusu maandalizi ya maonyesho hayo, yanayotarajia kufanyika katika Viwanja vya Usagara jijini Tanga.
Picha ya Pamoja ya Katibu Tawala Mkoa wa Tanga (RAS), Rashid Mchatta,(katikati) akiwa na Timu ya Uratibu kutoka Wizara ya katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jiji la Tanga kuhusu maandalizi ya maonyesho hayo, yanayotarajia kufanyika katika Viwanja vya Usagara jijini Tanga.

***********
Na Chedaiwe Msuya na Eva
Ngowi, WF, TangaKatibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS), Bw. Rashid Mchatta, amewahakikishia wadau wa sekta ya fedha kuwa maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha yatakayofanyika jijini Tanga yatakuwa na mafanikio makubwa kutokana na maandalizi madhubuti na ushirikiano wa karibu kati ya Serikali na wadau husika.

0 comments:
Post a Comment