Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2021

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura na  akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza (kulia), akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021.

Posted by MROKI On Thursday, July 01, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo