
Warembo wanao wani ataji la Vodacom Miss tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao mjini Bagamoyo, Pwani.

Sylvia Mashuda kutoka Kanda ya Ilala

Annete John kutoka Kanda ya Ilala

Lilian Shayo kutoka Kanda ya Temeke

Beatrice Dengenesa kutoka kanda ya Nyanda za juu kusini

Tahya Badru kutoka Nyanda za Juu Kusini

Doris Godfrey kutoka Kanda ya Ziwa-Kagera

Florence Josephat kutoka Kanda ya Temeke

Joan Faith John kanda ya Kinonondoni

Tusekile Mwakibinga Miss Tanzania London

Johari Abubakar kutoka Vyuo Vikuu

Mariam Hajibu kutoka Kanda ya Kaskazini-Tanga

Nadya Ahmed kutoka kanda ya Kaskazini-Tanga

Rona Swai Kanda ya Temeke

Irine Salala Kanda ya Kati-Dodoma

Linda Kaaya Kanda ya Kati-Singida

Amata Crispian Kanda ya Kinondoni

Elizabeth Gupta (kulia) na Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza

Nelly Kamwelu-Kanda ya Ilala

Blanca Mkude Kutoka Kanda ya Mashariki-Morogoro.

Regina Julius kutoka Kanda ya Ziwa-Shinyanga

Gloria Masangwa kutoka kanda ya Kaskazini - Arusha.
Mimi nimemaliza kazi kwenu wadau kutoa maoni yako hapo chini juu ya nani unadhani anaweza kutwaa taji hilo mwaka huu.
Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza
ReplyDeletefrom Hak
yes man,hao wawil mmoja wapo kwa mtazamo wangu ndiyo afadhali ashinde, ni huyo wa Ilala na arusha kaskazini, wa arusha anaweza kupigwa bao na wa ilala sababu mwenzie mrefu kidogo, lakini ni mtazamo wangu tokana na picha.
ReplyDeletekijiwe
Asante Mkubwa. We ndo Mtu bwana.
ReplyDeleteSasa lete wakiwa katika Beach Wear
Naomba uwapige wote 28 acha kuwabania wengine
ReplyDeletesasa inamaana yule wa EU hakuja? naona wa UK tu je USA hawakuchagua.
ReplyDeleteKama hawajaja waambie waandaaji wasitubip
Mkude atashinda.
ReplyDeleteI am totally confused about beauty and half-naked?????
ReplyDeleteFey yuko wapi???
ReplyDeleteJamani mi naona kama hao ma miss Temeke wanapendelewa na akishinda mmoja wapo ntaamini kwamaba kuna upedeleo. Ni wazuri ndiyo lakini kila comment kwenye magazeti wana nukuu kutoka kwa Miss Temeke. Kwani wengine hawapo?
ReplyDeleteNumber 10 lazima achukue. Mtoto mzuri mashalla.
ReplyDeleteBREAKING NEWS!!!!!!!
ReplyDeleteMIchuzi apigwa marufuku kutangaza Castle Kagame CUp tena na watu wa Serengeti, haha! Unajifanya mjanja unachula pesa sehemu zote mbili halafu unaweka matangazo mahali pamoja watu wamemla kichwa, Misupu acha bana kuweka wapinzani mahali pamoja bana...Kama Blog hii inazaminiwa na Tigo pia sasa ukiweva Vodacom hapo jamaa hawakupi tena hako kahela kao japo ni ka ngama lakini kanakutoa hata T-shirt huwezi kununua, unakula makange ya bure tu pale break point hulipi basi ndo utatuwekea matangazo we mpaka tukome...sasa na watu hao wa TEMAF nao waweke hapo halafu watakupa offer ya kijana wako mmoja wa ulaya akae bure kwao haha!!!!!!!!
for realy miss uk kiboko jamani!
ReplyDeletekweli hata wazee wa ngwasuma waliimba wazuri niwengi lakini nimekuchagua wewe basi na mie nimemchagua miss uk.
ReplyDeletekwakweli tusekile zaidi jamani!!
ReplyDeletemwana katika wote hao nilio waona walio katika chance ya kushinda ni miss wa kanda ya ilala na kinondoni mazee
ReplyDelete