Nafasi Ya Matangazo

January 28, 2016

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (kulia) akizungumza katika mutano ambapo CUF ilitoa azimio la kutoshiriki katika uchaguzi Mkuu wa marudia uliopangwa kufanyika Machi 20,2016. Wengine ni viongozi wenzake wa chama hicho akiwepo Kaimu Mwenyekiti wa CUF taifa, Dk Twaha Issa Taslima (wapili kushoto). 
CHAMA cha Wananchi CUF, kimetoa tamko la kutoshiriki uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufanyika Machi 20,2016.
Posted by MROKI On Thursday, January 28, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo