TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi RAPHAEL, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Taarifa ya Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue imeeleza kuwa uteuzi huo umeanzia tarehe 26 Januari, 2016.
Kabla ya uteuzi
huu Ndugu Julian Banzi RAPHAEL
alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Ndugu
Julian Banzi RAPHAEL anachukua nafasi iliyoachwa wazi
na Ndugu Juma RELI ambaye muda wake
umemalizika tarehe 12 Julai, 2015.
Gerson
P. Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU,
DAR ES SALAAM.
28/01/2016
0 comments:
Post a Comment