Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani
Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.
Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa
fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano
kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini
Kisiwani Zanzibar
Dkt. Magufuli
akifurahia mara baada ya kukabidhiwa fomu za Wadhamini kutoka kwa Katibu wa CCM
wilaya ya Kaskazini B-Unguja.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
Magufuli akifurahia jambo na baadhi ya wanachama waliojitokeza kumdhamini huko
Chakechake Pemba.
Dkt. Magufuli
akikabidhiwa fomu za wadhamini Wete Kisiwani Pemba
Waziri wa Ujenzi Dkt.
Magufuli akiaagana na wana CCM kutoka Wilaya ya Kati unguja mara baada ya zoezi
kukamilika.
0 comments:
Post a Comment