Mkurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
(Kulia), akipiokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka
kwa Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta Tanzania,
(TPB), kwenye hafla ya mchaparo iliyoandaliwa maalum kwa wajumbe na wadau wa
mkutano mkuu wa nne wa PSPF mjini Dodoma juzi. Fedha hizo zlikuwa ni ufadhili
wa hafla hiyo.
Makungwa, (Kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, ikiwa ni udhamini wa tafrija ya wanachama na wadau wa Mfuko huo wanaohudhuria mkutano mkuu wa nne wa PSPF mjini Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika Jumatano usiku mjini Dodoma. Katikati ni meneja wa wateja wa benki ya NMB kutoka taasisi.
Mdau wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Selemani Mvunye,
akichangia wakati wa mjadala wa ujasiriamali uliowasilishwa na mtoa mada
mwishoni mwa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa Mfuko huo mjini
Dodoma.
Mwenyekiti wa bodi ya usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii nchini, (SSRA), Ally Muhimbi akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, mwishoni mwa mkutano mkuu wan ne wa wanachama
na wadau wa Mfuko huo mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Afisa Matekelezoi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Prisca
Ngowi, (katikati), akiteta jambo na wazee nhawa wastaafu na wanachama wa Mfuko
huo, Emmanuel Ilani, maarufu kama "Kindani", (kushoto) na Simon
Lemwayi, wakayi wa hafla ya mchaparo iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanachama
na wadau walioshiriki mkutano mkuu wa nne wa PSPF mjini Dodoma
Msanii wa kundi la Mjomba Band, Mrisho Mpoto, (Katikati), na
wenzake, wakitoa burudani wakati wa hafla ya mchaparo ulioandaliwa na Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, kwa wanachama na wadau wa Mfuko huo waliohudhuria mkutano
mkuu wa nne wa PSPF uliofabnyika mjini Dodoma na kumalizika
Burudani iliendelea na watu kufurahi.
0 comments:
Post a Comment