WAZIRI
pia Mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo katika Ubalozi wa Japan hapa Nchini,
Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO,
Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa
kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu
ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja
nao ni ni Kaimu Niabu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia mgonja.
Meneja
Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akibadilishana mawazo na wasaidizi
wake wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo.
|
Maofisa Mawasiliano wa TANESCO, Neema Mbuja (kulia) na Salama wakifuatilia mkutano huo.
(juu
na chini)MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba
akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na
waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati
miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam
leo.
MWAKILISHI
Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi
Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia
maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa
nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni Waziri
pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo Kwenye Ubalozi wa Japan hapa Nchini,
Kazuyoshi Matsunaga.
|
0 comments:
Post a Comment