mkuu wa mkoa wa Arusha magessa
mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la
wahabeshi katika uzinduzi wa
maonyesho ya sido
baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika
maonyesho ya sido
mkurugenzi
wa Taha Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa
zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho
katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo
vidogo
wahazabe wakiendelea kutengenez mikuki yao
mkurugenzi wa Sido Taifa Omary Bakari akiwa
anasoma risala kwa mgeni rasmi katika maonyesho
hayo
meneja wa Sido Isidori
kayenze Arusha akiendelea kunogesha maonyesho hayo
0 comments:
Post a Comment