Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa
Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam,June 9, 2014.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Balozi huyo wa Uingereza hapa
nchini, Dianna Melrose, wakipena mikono kabla ya kuanza mazungumzo yao,
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam,
June 9, 2014.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi wa Uingereza
hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014.
0 comments:
Post a Comment