Kaimu Meneja wa Mafao ya Matibabu Dk. Lucy Simbila
akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kaimu Mganga Mkuu Mkoa wa Geita
Dk. Ndinisyu Daniel (kushoto) kufungua zoezi hilo. Wengine ni Dr. Ali Mzige (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Bw.Shaban Mpendu, Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita
na Mwisho ni Regional Aids Control Cordinator (RACC), Elisande Shumbi.
wakazi wa Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupima Afya zao.
Meneja
wa NSSF GEITA, Bw. Shaban Mpendu akimsikiliza kwa makini Dr. All MZIGE akimuelezea mgeni rasmi kaimu mganga mkuu wa Geita DR.Ndinsyu Daniel zoezi la upimaji sukari
kwenye moja ya banda la upimaji afya.
Meneja NSSF Geita bwana Shaban Mpendu akimuongoza mgeni Rasmi
Kaimu Mganga Mkuu wa Geita DR. Ndinisyu
Daniel kutembelea mabanda ya upimaji afya.
Afisa Mwandamizi
Uendeshaji Bi.Siaeli
akiandikisha wanachama wapya waliojitokeza kujiandikisha kwenye kambi ya
upimaji Afya.
Mmoja ya watu waliojitolea kutoa damu kwa hiyari baada ya
kupima Afya kwenye kambi hiyo ya upimaji Afya
Mmoja wa Madaktari akimpima mkazi wa Geita Urefu na Uzito ili kutambua uwiano wa urefu kwa uzito na kujua hali ya kiafya (BMI)
0 comments:
Post a Comment