Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2014

Nyumba ya kisasa kwaajili ya matumizi ya Familia inapangishwa kwa yeyote ambaye anauhitaji wa nyumba ya Kuishi na Familia. Nyumba ipo Maeneo ya Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam, pembembeni ya barabara kuu ya Mombasa-Moshi Bar/Kwa Mkolemba.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (Kimoja ni Master), sehemu ya Mapumziko, sehemu ya Chakula, jiko na vyoo viwili kimoja kwaajili ya wageni.
Ina huduma zote za muhimu kuwapo katika nyumba, hii ni kuanzia Umeme, Maji na Viyoyozi (AC). Pia ina uwanja mkubwa na Maegesho ya gari/magari.Uzio na geti vipo kwaajili ya kumhakikishia ulinzi Mpangaji wa Nyumba hiyo vipo.
Barabara ya Uhakika ipo na si mbali na Kituo cha Treni inayoingia katikati ya jiji la Dar es Salaam.
KODI ni Tsh 500,000/= kwa Mwezi na Malipo yanaanzia miezi 6 na Mwaka mmoja.
Mawasiliano zaidi: +255 754 000848
Posted by MROKI On Wednesday, June 04, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo