Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2014

Father Kidevu Blog inaungana na Familia ya Kazikupenda Chale ambaye ni mdau mkubwa wa Blog hii katika kipindi hiki kigumu cha msiba mzito wa kuondokewa na mama yake mzazi Mama Fides Chale kilicho tokea Juni 2 2014 jijini Dar es Salaam.

RATIBA YA MAZISHI
Mama Fides Chale atazikwa Dar, Alhamisi ktk makaburi ya Kinondoni. Kutakuwa na Misa ya Mazishi ktk Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay saa nane kamili mchana. 

Baada ya Misa waombolezaji watapata fursa ya kutoa heshima zao za Mwisho kwa mwili wa mpendwa wetu mama Fides Chale katika Kanisa la Mt. Petro. Karibuni tumsindikize Mama ktk safari yake ya mwisho. 

Leo Jumatano mchana  Mwili wa marehemu utarejeshwa nyumbani kwake Msewe 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Posted by MROKI On Wednesday, June 04, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo