Nafasi Ya Matangazo

October 24, 2013

 DREAMLAND HALL, ni ukumbi mpya na wakisasa uliopo Mbezi Beach Darajani jijini Dar es Salaam na umejengwa maksusi kwaajili ya tafrija mbalimbali na mikutano. Ukumbi huu uliosheheni vitu vyote muhimu katika sherehe umezinduliwa hivi karibuni na sasa unakaribisha watumiaji. Wasiliana na wahusika sasa maana huna haja tena ya kufikiria wapi utafanyia tafrija yako ya Kitchen Party, Send Off, Harusi na hata tafrija nyingine mbalimbali na mikutano. MAWASILIANO:  +255 (0) 754777444, Mr. Ramadhan Ng'humbi.
 Ukumbi una meza na viti vya kisasa kuweza kukidhi mahitaji yako.
 Unavifaa maalum vya kuwatenga maharusi na kupata faragha wakati wa kula.
 Zulia jekundu ndo kama hivyo na kuwafanya maharusi wako wajione wapekee
 Mpambaji wako akiwa mzuri basi ukumbi utapendeza marudufu.
 Meza za wageni maalum (VIP) huwekwa tofauti na zingine.
 Spika zipo juu hivyo wageni hawata pata kelele kutoka chini kam ilivyozoeleka.
 Mandhari ni nzuri sana sana ukumbi hapo na viyoyozi vya kutosha.
Huduma ya vinjywaji yapatikana ukumbi hapo na mteja anaruhusiwa kuleta Chakula na mpambaji amtakae.
Posted by MROKI On Thursday, October 24, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo