Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika
Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe Phyllis C.
Kandie akila kiapo jana mchana kama
ofisa maalum katika Bbunge la Afrika Mashariki (EALA) katika Mkutano wa 6 wa Kikao cha 1
cha Baraza 3 ulianzia
mjini Kampala, Uganda jana.
Kiapo hicho cha utii kwa Bunge hilo kilifanyika
ulitekelezwa katika Bunge mbele
ya Spika EALA, Margaret Nantongo Zziwa.
Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika
Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe Phyllis C.
Kandie akila kiapo jana.
Kikao cha Bunge kikiendelea
Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akichangia
hoja katika Kikao hicho cha Bunge mjini Uganda jana.
0 comments:
Post a Comment