Marehemu Albert Mangwair (kushoto) akiwa na rafiki yake M to P enzi za uhai wake huko Afrika Kusini.
Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani Dodoma.
Alihamia jijini Dar es Salaam, Tanzania
ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki P Funk 'majani' au Kinywele Kimoja, na kuanza
kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha
kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu mkubwa.
Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards
kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005. Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo
wa kimya kimya akiwa na wana chemba. Katika Kimya Kimya
anapagawisha. Marehemu kwa sasa Ngwair anatesa na nyimbo inayotamba kwa jina Washamba. Alifariki jana 28/05/2013.
****** RIPOTI KAMILI ****
Helen Joseph Hospital - Auckland Park, Johannesburg, South Africa.
The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr. Shirley Radcliffe
confirming that; Albert Mangwair died from: “Alcohol toxicity” after
drinking too much, Over-exhaustion and drugs overdose.
The inquest heard
that Albert 28, collapsed in his friend's home had been more than
five-times the legal S.A drink-drive limit with 416mg of alcohol per 100
millilitres of blood in his system.
Dr. Radcliffe described the reasons for ICU admission included hypoxemia and one of his friend found
“two empty vodka bottles in the car” and he had been suffering from the
eating disorder (Bulimia) for several months before his death and
endless partying session with little or no resting.
Sample taken from
his stomach showed poly-drug cocktail and he overdosed Heroin, Cocaine
'crack' and cannabis 0.08gms was also found in his blood, and his death
was caused by massive heart attack and respiratory failure followed by
sudden heart stop...and end up dead within seconds.
0 comments:
Post a Comment