Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiwa ndani
ya ukumbi wa Bunge.
Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiongozwa
na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kutoka kushoto wanne
mstari wa mbele). Wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge leo kuangalia shughuli za
Bunge Dodoma.
Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakielekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge
leo Dodoma. Maafisa hao wamefanya ziara Bungeni hapo ili kuona shughuli za Bunge.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Aggrey Mwanri
akiwakilisha hati mezani kuhusu Taarifa ya
Mwaka na Hesabu zilizokaguliwa na Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa
kwa Mwaka wa Fedha,2010/2011.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Pereira Silima akiwasilisha azimio la Bunge la Kujiunga na
Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Vitendo vya Ugaidi wa Kutumia Nyuklia. Azimio
hilo limeungwa mkono leo katika mkutano wa kumi kikao cha nane.
Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa (kulia) akiongea na James Mbatia (Kushoto)- katika viwanja vya
Bunge leo. Baada ya Spika Anne
Makinda(hayupo pichani) kutangaza rasmi Mitala ya Elimu inayotumika ni halali na ipo. (Pichani
katikati) ni Charles Mwijage (Muleba
Kaskazini)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema akisoma Muswada wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2012 katika ukumbi wa Bunge leo
Mwenyekiti wa Bunge Mussa Zungu Azzan akifafanua
kanuni mbalimbali Bungeni leo.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman
Mbowe(kushoto) akiongea na Joshua
Nassari(Arumeru Mashariki) ndani ya
ukumbi wa Bunge.
Picha zote n Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment