Kampuni ya bia ya Serengeti imezidi kukonga nyoyo za
wapenzi wa bia jijini Dar Es Salaam
kupitia kinywaji chake cha Tusker
Lite . Kinywaji hicho cha ukweli
kilizinduliwa mwezi Novemba mwaka
jana . Tusker Lite ina wanga kidogo na
ladha halisi ya kuburudisha. Kwa mujibu
wa matukio yanayoendelea katika baa
mbalimbali jijini, wapenzi wa bia
wamepata fursa ya kuzungumza na mabalozi wa kinywaji hicho na kukiri
kuwa Tusker Lite ina ladha murua na kukubali kuwa Tusker Lite ni Lite ya
ukweli .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment