Afisa Mwandamizi
wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja
ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia uanaofanya na
magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzaania walipotembela
katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
Luteni Kanali wa jeshi
la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi
la Wanamaji wa Tanzania jinsi moja
ya vifaa vya kivita wanavyotumia katikai
ulizi wa kupambana waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati
walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye
jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es
Salaam, kwa lengo la kufanya ziara
ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili
Februari 16. 2013 na imeondoka leo februari20 2013.
.Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir
Mavlihanoff (watatu kutoka
kulia)akiwaelezea wanajeshishi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi nchini yao inavyofanya ulizi wa
kupambana na waharamia kwa kutumia herokpta wakati walipotembelaa katika Meli
ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka leo februari20 2013.
Meja wa jeshi la wanamaji
la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza mmoja wa askari wa jeshi la wanamaji Tanzania wakatimalipokuwa akimuliza swali kuhusiana
namatumizi ya bunduki ya kisasa
wanayotumia katika kufanya ulizi wa kupambana na uharamia katika bahari ya
hindi wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina ya Ant
Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika
bandari ya Dar es Salaam, kwa
lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka leo
februari20 2013.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji kutoka Urusi wakinyenyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa
elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya
kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,
iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka leo februari20 2013.
Mkuu wa msafara wa meli
ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la
Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi
hao walipotembela katika meli ya kivita
aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,
iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka leo februari20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji
kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi
Tagir Mavlihanoff.
Wanajeshi wa jeshi la
wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki
huku Luteni wa jeshi la Wanamaji
kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff
akiwapa maelezo juu ya siraha hzio ambazo zinatumika katika kupambana na
uharamia baharini wakati walipotembelaa katika Meli ya kivita aina
ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia
nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya
Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka leo februari20 2013.
0 comments:
Post a Comment