Spika
wa Bunge Afrika Mashariki,Mhe. Margret Natongo Zziwa akimkaribisha Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto)
ili kulihutubia Bunge la Afrika Mashariki.Kulia ni Spika wa Bunge la
Tanzania Mhe. Anne Makinda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete akilihutubia Bunge la Afrika Mashariki wakati alipofika
kuzindua Ukumbi Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki ulioko katika jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akimpokea Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa
akiwasili katika jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini
Arusha kwa lengo la kuzindua Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki ulioko
katika jengo hilo.
Spika
wa Bunge la Africa Mashariki Mhe. Margret Natongo Zziwa (kulia)
akimkaribisha Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda katika jengo
hilo.Picha na Prosper Minja- Bunge.
0 comments:
Post a Comment