Gari aina ya Harrier lenye namba za Usajili T478BVR lililokuwa likiendeshwa na Marehemu Hussein
Ramadhani Mkieti (27) maarufu SHARO MILIONEA alifariki duni juzi katika ajali ya gari kijii cha Maguzoni Soga Wilaya ya Muheza jijini Tanga likionekamna katika taswira tofauti baada ya kupata ajali hiyo na kuondoa uhai wa Msanii hiyo.
Sharo Milionea
anazikwa leo nyumbani kwao Muheza mkoai Tanga.
0 comments:
Post a Comment