Nafasi Ya Matangazo

October 12, 2012

 Hivi karibuni timu ya Wapigapicha wa Matukioika ya Jumuia ya Afrika Mashariki ilipata fursa ya kutembelea kituo cha Televisheni cha Channel 5 (EATV) pamoja na East Afrika Redio  vilivyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ilitembelea kituo hicho hasa kutokana na Kituo hicho kilichopo chini ya Makampuni ya IPP Media kuwkinarusha matangazo yakekatika nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Hivyo kufanya mtangamano wa EAC kufanyika kirahisi katika sekta ya Uchumi na Mawasiliaano na ajira pia.
 Wafanyakazi wa IPP Media wakishow Love katika picha hii waliyonaswa na Father Kidevu Blog
 Vituo vya Television na Redio vilivyo chini ya IPP MEDIA
Baadhi ya watangazaji na wafawa EATV wakiwa katika picha tofauti tofauti
Posted by MROKI On Friday, October 12, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo