Nafasi Ya Matangazo

October 12, 2012

Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akikagua gari la mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akikagua gari  wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani Mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema  akitoa maelezo na ufafanuzi kwa mfanyakazi wa Airtel bi Clara Kizinga juu ya vyombo vya moto wakati wa zoezi la ukaguzi wa magari lililofanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Zoezi hilo ni mwendelezo wajuhudi za Airtel katika kuhakikisha usalama barabarani unazingatiwa.
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema   akiandika sticker za usalama barabarani mara baada ya kuyakagua magari wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco. Pichani Mfanyakazi wa Airtel. Pichani ni wafanyakazi wa Airtel Lilian Kibiriti na Abdul Mbuyu
Askari wa usalama barabarani Meja Anthony Mjema   akibandika sticker ya usalama barabarani  katika gari ya mmoja wa wafanyakazi wa Airtel bwana Abadallah Gunda  mara baada ya kukalikagua , hii ni moja kati ya mwendelezo juhudu za Airtel kwa kutekeleza usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco, nyuma ni baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakisubiri kukaguliwa.
Posted by MROKI On Friday, October 12, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo