Meneja wa bia ya Castle Lager Kabula Nshimo (kushoto)
akimkabidhi jezi Denis Mlowe kutoka Iringa ambaye ni miongoni mwa washindi sita
wa shindano la kuwasaka mashabiki bomba 2 (Castle Lager Super Fans)
watakaoungana na mashabiki wengine wa kinywaji hicho maeneo mbalimbali kwenda
kushuhudia fainali za Afrika hapo mwakani nchini Afrika Kusini. Washindi hao
watapigiwa kura ili kuwapata wawili watakaowakilisha Tanzania kwenye michuano
hiyo.
Washindi wakiwa na jezi zenye majina yao mara baada ya
kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari.
Washindi wote kwa majina yao na sehemu wanazotoka ni Stephen
Chuma-Dar es Salaam, John Mosha Dar es Salaam, Firbert Nestory Dar es Salaam,
Charles Mbaza Arusha, Denis Mlowe na Yahya Hamza
Kabula akizungumza na waandishi wa habari (hapo pichani)
wakati akiwatambulisha washindi hao (kulia) ambao watapigiwa kura ili kuwapata
wawili kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye kushangilia fainali hizo za Afrika.
0 comments:
Post a Comment