Nafasi Ya Matangazo

June 11, 2012

Mfanyakazi wa Vodacom akichangia damu katika mpango wa kukusanya damu salama uliofanyika katika viwanja vya Mlimani city jijini Dar Es Salaam. 
 Meneja mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa, akichangia damu katika mpango maalum wa kuchangia damu salama kwa watu wenyemahitaji mbalimbali. Uchangiaji huo wa damu ulifanyika katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar Es Salaa.
Wafanyakazi wa kampuni wa kampuni ya simu ya vodacom wakichangia damu katika  mpango maalum wa kuchangia damu salama katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam.
Posted by MROKI On Monday, June 11, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo