Nafasi Ya Matangazo

June 11, 2012

 Hayawi yamekuwa Joshua Madeleka na Briggety Mwazembe wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Mloviani Ukonga na kufuatiwa na sherehe kubwa ya kukata na shoka iliyofanyika katika Hoteli ya Landmark jijini Dar es Salaam.
Bwana harusi Hussein akiwa na Mkewake Naifati wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Chichi Hoteli jijini Dar es Salaam. 
Mahitaji yako ya Picha za HARUSI, SEND OFF PART, K'PARTY WASILIANA NA 
MD Digital Company 
Mob: 0717002303/0755 373999 
E-Mail:mrokim@gmail.com
Gharama ni nafuu na zitarushwa hewani.
Posted by MROKI On Monday, June 11, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo