SIMBA YAIKUNG'UTA YANGA GOLI 5-0 KWENYE UWANJA WA TAIFA
Wachezaji wa Simba wakishagilia ubingwa baada ya kukabidhiwa kombe na Waziri Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangala |
Waziri
Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala
(kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa wa Tanzania Bara baada ya mechi
na Yanga kumalizika leo kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam. (PICHA
ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
Wachezaji wakifurahia kombe |
Simba wakishangilia ubingwa kiaina
Kocha wa Simba Milovan Circovic akiwa amebebwa na wachezaji |
Wachezaji na viongozi wa Simba wakicheza mduara baada ya kuifunga Yanga mabao matano na kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara |
Wapenzi wa Simba wakishangilia ushindi wa mabao matano dhidi ya Yanga pamoja na ubingwa
Picha na Kamanda wa Matukio Blog.
0 comments:
Post a Comment