Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (wa pili kulia) akilisha Samaki katika bwawa la kufugia nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma, Februari 10, 2026.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda akilisha Samaki katika bwawa la kufugia, wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma Februari 10, 2026. Wa mwisho kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda (katikati) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) alipomtembelea nyumbani kwake Dodoma, Februari 10, 2026. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi. 
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda (katikati) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) alipomtembelea nyumbani kwake Zuzu- Dodoma, Februari 10, 2026. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi. 
Posted by MROKI On Tuesday, February 10, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo