Rais
Jakaya Mrisho Kikwete maombolezo ya Marehemu Deokalyus Makwasinga,
ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya
gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii
imefanyika nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya
kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao
za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa
Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za
Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika nyumbani kwa
marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao
Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
0 comments:
Post a Comment