Nafasi Ya Matangazo

May 06, 2012

 Msanii Joh Makini akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel withgrandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoroambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe
 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati namkurugenzi wa chuo kikuu cha Sokoine Prof Mzanila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Capten wa Timu yaInfomatic Ally Tambala baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguukwenye bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt mkoaniMorogoro ambapo ilishirikisha pia chuo kikuu cha Mzumbe,Kushoto ni msanii waHip hop Joh Makini.


Posted by MROKI On Sunday, May 06, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo